Maalim Seif Shariff Hamad akiwapongeza na kuwashukuru wana jumuiya ya Waislamu wa Washingon DC ( TAMCO ) na kuwataka waendelee na umoja walionao na mshikamano kwani huo ndio utamaduni wetu na muongozo wa dini.
Maalim ahudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania Muslim Community Marekani
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewashukuru na kuipongeza Tanzania Muslim Community kwa juhudi zake za kufutarisha kila wiki ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Maalim alihudhuria iftar siku ya Jumamosi, Juni 11, 2016 jijini Washington DC wakati akiwa katika ziara yake ya siku 14 nchini Marekani na Canada.
Mheshimiwa Ismail Jussa Mkurugenzi wa wa mambo ya nje wa CUF mmoja wajumbe ulioambata na Maalim Seif Shariff Hamad akisalimia na kutoa shukran wa Wanajumuiya ya Waislamu ya Washington DC.
Mwenyekiti wa jumuiya ya Kiislam ya watanzania inayounganisha majimbo matatu Washington DC, Maryland, naVirginia (DMV) Sheikh Ali Mohammed, akitoa neno kwa waumini waliohudhuria, mbele ya mgeni rasmi Maalim Seif Shariff Hamad
Shamis Mattar alkhatry mmoja wa viongozi wa jumuiya akielezea machache
Mh. Jussa Ismail mmoja wa ujumbe ulioambata na Maalim Seif Shariff Hamad akisalimia na kutoa shukran wa Wanajumuiya
Mh. Maalim Seif Shariff Hamad kwa hisia kali akiwapondeza na kuwashukuru wana jumuiya na kuwataka waendelee na umoja walionao na mshikamano kwani huo ndio utamaduni wetu na muongozo wa dini, pia aliwaeleza atakuta na Watanzania siku ya Jumamosi
Sheikh Ibrahim alieyongoza sala ya magharib mbele ya waumin waliodhuria katika futari ya pamoja
Ustadh Zubeir akiwa na Maalim Seif kwenye Picha ya pamoja .
Said Mwamende akiwa pamoja na Maalim picha ya chini .
Said Mwamende akiwa na Maalim Seif Kwenye picha .
Said Mwamende akiwa pamoja na Maalim picha ya chini .
Said Mwamende akiwa na Maalim Seif Kwenye picha .
Kiongozi Msataafu wa Jumuia ya Waislamu Mganga Muohombalage akiwa pamoja na Maalim Seif
Mayor Mlima akipata Picha pamoja na Maalim Seif baada ya kumaliza futari ya pamoja
Aunty Jasmin Rubama akiwa na Maalim Seif baada ya futari.
Mhasibu wa Jumuia ya Waislamu ya Watanzania Bi Asha Hariz akiwa pamoja na Maalim Seif.
Mhasibu wa Jumuia ya Waislamu ya Watanzania Bi Asha Hariz akiwa pamoja na Maalim Seif.
Picha ya Chini Maryam Kassim na Wenzake wakiwa na Maalim baada ya futari.
Mr Shamis Alkhatry na Mwenyekiti wa Jumia ustadh ALi Mohammed pamoja na Ustadh Abuu Qulatain pamoja na Maalim Seif.
Ujumbe uliofuatana na Mhe Maalim Seif Sharif Hamad wakisikiliza kwa makini mawili matatu lutoka kwa maaalim Seif.
Ujumbe uliofuatana na Mhe Maalim Seif Sharif Hamad wakisikiliza kwa makini mawili matatu lutoka kwa maaalim Seif.
No comments:
Post a Comment