Sunday, July 10, 2016

Waislamu wa Washington DC area wakitoka Kuswali Eid


Watanzania mbali mbali wanaoishi maeneo ya Washington DC are  (DMV) wakipata picha ya pamoja baada ya kutoka kuswali EID Fitri kweye Msikiti wa Montgomery county community Centre MCC uliopo Silver Spring area .

Ustadh Daddy Ruba akiwa na wageni wake kutoka state za Ohio na South Carolina.

Abuu Shatri akiapta pose ya Video na waislamu wengine wa DMV

Abuu Shatri akiwa Pamoja na Ustadh Yussuf Mecca kutoka Columbus Ohio na sheikh Ahmed Abdulla kutoka state ya South Carolina.


Ustadh ALi Mussa Mikidadi na Ustadh Abdul Makeo wakipata picha ya Pamoja kabla ya kuelekea  ukumbini kupata chai ya pamoja ya EID

No comments:

Post a Comment