Tuesday, September 13, 2016

Angalia taswira mbalimbali za sala ya Iyd Al-Adha-2016

Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya  EID Al-Adha iliosaliwa Siku ya Jumatatu Septemba 12,  katika Msikiti wa Islamic Center Uliopo maeneo ya New Hampshire Maryland nchini Marekani.









Friday, July 22, 2016

US Muslims fear Trump nomination will lead to increased Islamophobia

CLEVELAND, United States - This week in Cleveland, Trumpism went from being a punchline to solidifying into a genuine political ideology - one that may to forever change the political landscape of the United States.
For many Muslim-Americans, that’s an especially frightening prospect.
On Thursday night, Julia Shearson gathered with a group of Muslim-American families to watch Donald Trump’s speech. Over creampuffs and basbousa, a Middle Eastern sweet cake, eight of them listened intently to the new Republican Party nominee’s defining discourse.
Shearson, who is also the executive director of the Cleveland Chapter of the Council for American-Islamic Relations (CAIR), said she vacillated between being mesmerised by his seductive promises to being horrified by his scapegoating.
“There was lots of coded language, he was speaking to white Americans,” Shearson said. “He speaks about minorities, not to us.”
The picture of the US that Trump painted was a dark one. America, as he described it, is under siege - by the deceptive liberal elite, by criminal immigrants, and most of all by “radical Islamists”. It’s a vague enemy, with the lines blurred between terrorism, crime and violence.
The only solution? Himself, of course.
“Beginning on January 20th, 2017, safety will be restored,” Trump promised. What that means for non-white Americans is not clearly defined.
The call for presumptive Democratic presidential nominee Hillary Clinton to be arrested came not only as a recurring chant from his crowd of supporters, but also from keynote speakers. One key Trump adviser even called for her to be “exec

Tuesday, July 19, 2016

SALAMU ZA RAMBI RAMBI YA SHEIKH KHAMIS SAID KHALFAN KUTOKA KALAMU EDUCATION FOUNDATION.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un (إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)  Sura Al-Baqara, aya 156.‎

Sheikh Khamis Said Khalfan amefariki mchana wa Saa Tisa Mchana Leo Swawwaal 14, 1437H sawa na 19 July, 2016 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Sheikh Hamis Bin Said
Sheikh said mmoja wa watu wenye elimu kubwa Katika ukanda wa Afrika Mashariki alisifika sana katika elimu na uchamungu.

Sheikh alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu(Blood Pressure) ambapo alipelekwa Hospitali Shree Hindu Mandal na baadae kuhamishiwa Hospital ya Muhimbili.

Sheikh alikwenda Zanzibar kusoma kwa Sheikh Suleiman Alawi na Alhabi Ali Badawi. Pia amesoma kwa Alhabib Omar bin Sumeit huko huko Zanzibar.Alisoma kwa muda wa miaka 21.

Miongoni mwa aliosoma nao huko alikuwa ni Sheikh Abdallah Ayoub kwa miaka minane.

Mwaka 1967 aliruhusiwa kurudi Dar es Salaam. Aliporudi hakuanzisha kusomesha na alianza ziara ya kutembelea Madrasa Kadhaa nchini.

alienda Madrasa Ya Shamsia (Tamta) na kukaa kwa Sheikh Muhammad Ayoub kwa siku Tisa. Kisha alikwenda Arusha na Lamu. Ziara hiyo ilikuwa ni mwaka 1967 na 1968.

Mwaka 1969 alianzisha Madrasatul Ihyaa iliyopo mtoni kwa Azizi ali jijini Dar es Salaam. Alianza kwa kusomeshea Msikitini.

Mwaka 1970 ndipo alipopata jengo la madrasa na alianzisha Boarding ya Madarsa.

Madrasa hiyo ikaendelea na kupata matawi kadhaa ikiwemo Kilwa Kisiwani na Kilwa Masoko na sehemu kadhaa nchini.

Kalamu Education Foundation Imekuwa ikishirikiana kwa karibu na Madrassa za Sheikh Khamis hasa ile ya Kilwa ambapo kushiriana nayo Mwaka 2014 Kalamu lfanikiwa kuwapeleka Vijana Wanane wa Madrassa Lyhaa Nchini Sudan katika Chuo International University of Africa kusomea kozi mbali mbali zikiwemo za Sayansi, Sheria na Dini.

Sheikh Khamis kushiriki kikamilifu katika mapokezi ya Imam Qasim Ibn Ali Khan alipozuru Madrassa zake Kilwa Kisiwani na Kilwa Masoko.

Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na alifanye kaburi lake kuwa moja ya Mabustani ya peponi.

Sunday, July 17, 2016

Trump Shifts on Muslim Ban, Calls for 'Extreme Vetting'

Republican Presidential candidate Donald Trump speaks during an event at Trump SoHo Hotel, June 22, ... Image: Donald Trump Gives Speech On Presidential Election In New York
Donald Trump is once again shifting the parameters of his proposed temporary ban on Muslisms entering the country, calling Sunday for "extreme vetting" of persons from "territories" with a history of terror — though not explicitly abandoning his previous across-the-board ban.
In an interview with "60 Minutes" that aired Sunday, Trump zeroed in on people from suspicious "territories" as those who will receive deep scrutiny when trying to enter the United States. He did not directly repudiate his previous call for an outright ban.
"Call it whatever you want," Trump told CBS when asked if he was changing his previously released policy.
"Change territories, but there are territories and terror states and terror nations that we're not going to allow the people to come into our country," he said.
Related: Trump's Immigration Ban Ensnares a Third of the World
Trump continued: "We're going to have a thing called 'extreme vetting.' And if people want to come in, there's going to be extreme vetting. We're going to have extreme vetting. They're going to come in and we're going to know where they came from and who they are."
Syrian refugees, however, appear to still be on Trump's list of those people not allowed into the country. The presumptive Republican nominee, who heads to the convention this week for his official coronation, remained consistent on his calls to "not let people in in from Syria that nobody knows who they are." This ban appears more country-based than religious-based.
Trump's initial proposal for a ban came in December of 2015. He called for a temporary yet "total and complete shutdown of Muslims entering the United States until our country's representatives can figure out what is going on." The 2015 policy proposed a blanket ban on Muslims based on what Trump called "hatred" of the West he said was innate in Islam.
The language around the ban later shifted when Trump traveled to Scotland, spurring questions when he told a reporter it wouldn't "bother" him to allow a Scottish or British Muslim to come into the United States in light of his proposed ban. When asked moments later by The Daily Mail to further clarify those remarks, Trump responded: "I don't want people coming in — I don't want people coming in from certain countries. I don't want people coming in from the terror countries. You have terror countries! I don't want them, unless they're very, very strongly vetted."
Asked at the time which countries constitute the "terror countries," Trump said, "they're pretty well decided. All you have to do is look!"
He echoed this sentiment in a phone call with NBC News one day later. When asked by NBC's Hallie Jackson which "terror nations" Trump would focus on, he did not give much by way of criteria for designation these countries. "Terror nations," Trump repeated. "Look it up. They have a list of terror nations."
This is the first time Trump himself has articulated the pivot and specification of the ban that many advisors have attempted to spin for him. Still, the GOP businessman has not disavowed his prior plan for a blanket ban or stated that it's being abandoned in the wake of a new policy that focuses on terror nations or specific territories.

Monday, July 11, 2016

Walio na nia ya Scholarship hizo .

 Please share
1.    http://www.isna.net/scholarships.html

2.    http://scholarship-positions.com/muslim-scholarships-2014/2014/03/03/

3.    http://www.scholarshipsforwomen.net/muslim/

4.    http://islamicscholarshipfund.org/scholarships/
Je una Ndugu rafiki yeyote Mwenye degree Na Ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili nyumbani? Kuna program Hii (Fulbright) ya kwanza ni Kwa ajili ya walimu wa lugha ya Kiswahili kuja Huku kufundisha Kiswahili Na chuo kinakulipia kuchukua degree ya pili katika fani yeyote. If you know anybody let me know Nintamwunganisha Na marafiki zangu walio katika hizi program Hapa Marekani wamsaidie the process ya kuapply.. Please share

1.    https://eca.state.gov/fulbright/country/tanzania

2.    https://www.humphreyfellowship.org/how-apply-humphrey-fellowship-program


3.    https://exchanges.state.gov/non-us/program/community-solutions/applying

Sunday, July 10, 2016

Waislamu wa Seattle ,Washington state Eid Fitr 2016 walipokutana na kusherekea Eid fitr kwa pamoja.






kuku choma zikiwasubiri walaji

Waislamu wa Washington DC area wakitoka Kuswali Eid


Watanzania mbali mbali wanaoishi maeneo ya Washington DC are  (DMV) wakipata picha ya pamoja baada ya kutoka kuswali EID Fitri kweye Msikiti wa Montgomery county community Centre MCC uliopo Silver Spring area .

Ustadh Daddy Ruba akiwa na wageni wake kutoka state za Ohio na South Carolina.

Abuu Shatri akiapta pose ya Video na waislamu wengine wa DMV

Abuu Shatri akiwa Pamoja na Ustadh Yussuf Mecca kutoka Columbus Ohio na sheikh Ahmed Abdulla kutoka state ya South Carolina.


Ustadh ALi Mussa Mikidadi na Ustadh Abdul Makeo wakipata picha ya Pamoja kabla ya kuelekea  ukumbini kupata chai ya pamoja ya EID

Ramadhan at Ray Miller Park Houston ,Texas

Waislamu waliopo Houston
Texas  walipokutana kwenye Ray Miller Park huko Houston , Texas


Moon Bounse ya kuchezea watoto ikiwa tayari.

Saturday, July 9, 2016

Waislamu wa Houston Texas walipokutana kusherehekea EID

Eid fitr 2016 Houston
Bro Hussein na Faiz

Imam Qasim akitoa mawaidha kuhusu umuhimu wa dini kwa watoto wetu .
Brothers Khalfan,Abbou,Shaibu na Kassim

Sunday, July 3, 2016

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, akizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu, Tanzanian Muslim Community (TAMCO) mara baada ya Iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo, Siku ya Jumamosi July 2, 2016 ndani ya ukumbi wa Lawndale Dr. Silver Spring, Maryland U.S.A

Wednesday, June 29, 2016

Makamo wa Rais Mstaafu wa Zanzibar akutana na Waislamu wa Washington DC


 Maalim Seif Shariff Hamad akiwapongeza na kuwashukuru wana jumuiya  ya Waislamu  wa Washingon DC ( TAMCO ) na kuwataka waendelee na umoja walionao na mshikamano kwani huo ndio utamaduni wetu na muongozo wa dini.
Maalim ahudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania Muslim Community Marekani
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewashukuru na kuipongeza Tanzania Muslim Community kwa juhudi zake za kufutarisha kila wiki ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Maalim alihudhuria iftar siku ya Jumamosi, Juni 11, 2016 jijini Washington DC wakati akiwa katika ziara yake ya siku 14 nchini Marekani na Canada.


Mheshimiwa  Ismail Jussa Mkurugenzi wa wa mambo ya nje wa CUF  mmoja wajumbe ulioambata na Maalim Seif Shariff Hamad akisalimia na kutoa shukran wa Wanajumuiya ya Waislamu ya Washington DC.



Mwenyekiti wa jumuiya ya  Kiislam  ya watanzania inayounganisha majimbo matatu  Washington DC, Maryland, naVirginia (DMV) Sheikh Ali Mohammed, akitoa neno kwa waumini waliohudhuria, mbele ya mgeni rasmi Maalim Seif Shariff Hamad

Blog is under construction

Blog  Waislamu wa Marekani is under construction.